Mkurugenzi wa kampuni ya
Endless Fame Production Wema Sepetu jana usiku amepokea ujumbe kutoka kwa
msamaria mwema unaomtaarifu kuwa kuna kundi la watu wanaosadikiwa ni Majambazi wamepanga
njama ya kumvamia
na kufanya uharifu. Msamaria mwema huyo alisema…..
na kufanya uharifu. Msamaria mwema huyo alisema…..
''Nilikuwa kwenye Bar moja maarufu
iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remy...Nilisikia jopo la watu wakikuogelea juu ya
mafanikio yako na uzuri wa ofisi yako nawalikuwa wakipanga tukio la kujakukuvamia’’
Baada ya kupata salamu hizo
Wema alisema....
''Nimezipokea kwa masikitiko
sana taarifa hizo lakini tayari nimeishafata hatua zote za awali za kiusalama na watu hao wanafatiliwa
kisheria siko tayari kuliongelea sana sababu tayari lipo mikononi mwa
Serikali’’
Alimalizia kwa kusema hivyo Mrembo
huyo ambae kwasasa amekuwa gumzo kwa
Ahadi aliyoiweka ya kufanya mapinduzi makubwa kwenye TASNIA ya Filamu kupitia
kampuni yake ya
Endless Fame Production.
Endless Fame Production.