Kwa hali kama hii serikali inabidi ikae na wanamtwara wazungumze juu ya
suala la gesi maana itasababisha machafuko huko Mtwara na Tanzania
kiujumla.
Askari
wa kutuliza ghasia wakijiandaa kuzuia vurugu zilizotokea Mtwara, leo
kwa kile kilinachodaiwa ni mwendelezo wa vurugu za madai ya gesi.
Hii ndio Ilikuwa Mahakama ya Mwanzo Mtwara ikimalizika baada ya kuchomwa na Wananchi wa Mtwara waliokuwa wakizunguka kwa madai mbalimbali ikiwemo Imani za Kishirikina za Diwani,Pamoja na sakata la gesi kwa njia ya Mabomba kutoka Mtwara kwenda Kinyerezi..
Maaskari wakitulia ghasiaHii ndio Ilikuwa Mahakama ya Mwanzo Mtwara ikimalizika baada ya kuchomwa na Wananchi wa Mtwara waliokuwa wakizunguka kwa madai mbalimbali ikiwemo Imani za Kishirikina za Diwani,Pamoja na sakata la gesi kwa njia ya Mabomba kutoka Mtwara kwenda Kinyerezi..
Katika vurugu hizo, mwandishi wa habari wa Chanel Ten, amejeruhiwa
kichwani na kukimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Inasemekana Nyumba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Inasemekana Nyumba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia imepigwa mawe na kuvunjwa vioo
na Mahakama ya Mwanzo kuchomwa moto Mtwara Mjini hivyo Jeshi la wananchi limelazimika
kuingilia kati kutuliza ghasia hizo.
Aidha
imeelezwa kwa katika harakati hizo pia Mahakama ya Mwanzo imechomwa
moto na kusababisha askari kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu
hao na kulazimika Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, kuingilia kati
kutuliza ghasia hizo.