KUWA MAKINI NA HII AKAUNTI FAKE IITWAYO ASHA MUREMBO
RAYUU |
MWANADADA MKALI KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIE AJULIKANAYE KAMA RAYUU
AMELALAMIKA KWA KUCHAFULIWA NA AKAUNTI FAKE YA FACEBOOK INAYO TUMIA
PICHA ZAKE, AKAUNTI HIYO ITUMIAYO JINA LA ASHA MUREMBO HUWEKA STATASI
ZA KUWAOMBA PESA WATU KWA KUJIFANYA KAMA NI RAYUU
,KWANI
KUNA WANAUME KIBAO AMBAO WASHALIWA PESA NA HUYU DADA FAKE ASHA MREMBO,
HII AKAUNTI IMEMSABABISHIA MATATIZO MAKUBWA KIFAMILIA PIA HATA
WASANII WENZAKE HUMLAUMU KWA KUDHANI NI YEYE RAYUU, PIA WANAUME WALIO
TAPELIWA PESA ZAO HUMSUMBUA KWA KUDHANI YE NDO KAWATAPELI.
ANAOMBA MASHABIKI WAKE NA WATU WOTE KWA UJUMLA KUTO TILIA MAANANI HII AKAUNTI FAKE YA FACEBOOK IJULIKANAYO KAMA ASHA MUREMBO.
BAADHI YA STATUS ZA ASHA AKIOMBA PESA
HII NDO AKAUNTI ORIGINAL YA RAYUU
PIA RAYUU KASEMA MASHABIKI WAKE WAKAE MKAO WA KULA KWA KUJIANDAA KUPOKEA MOVIE YAKE MPYA IJULIKANAYO KWA JINA LA HIGH HEELS AKISHIRIKIANA NA CHUZI NA MASTAA WENGINE KIBAO