21 January 2013

MSANII AMAZONI WA WIMBO WA CHECHERUMBA AJITOA MTANASHATI



MSANII wa muziki Tanzania maarufu kama  Amazon,
ameamua kuweka wazi kuwa amejitoa Mtanashati Entertainment, kwa kile alichodai kuwa boss wa kundi hilo Ustadhi Juma na Musoma, alikuwa anataka kumpa mkataba wa milele, kitu ambacho kimemfanya Amazon aone ni lengo la kummaliza kimuziki.
source-dartalk

Comments system

Disqus Shortname