04 January 2013

MAELFU YA WATU WATOKEA KUMZIKA SAJUKI KATIKA MAKABURI YA KISUTU DAR ES SALAAM LEO TAREHE 04/01/2013.ANGALIA PICHA

Umati wa watu uliojitokeza hapa katika makaburi ya kisutu upanga kumpumzisha mpendwa wetu Sajuki.
Umati wa watu uliojitokeza hapa katika makaburi ya kisutu upanga kumpumzisha mpendwa wetu Sajuki.
Photo: Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.
Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.
Photo: Picha ya msibani kwa Sajuki sasa hivi hapa Kisutu Dar, Profesa Jay na Mwana Fa ni miongoni mwa niliowaona.
Makaburini Kisutu Dar

Comments system

Disqus Shortname