HAPPY NEW YEAR WAREMBOZ!!
MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA WALE MABINGWA WA VIPODOZI VYA UKWELI WAMEKUJA NA MAMBO MAPYAZ KWA MWAKA HUU!! UKIAMUA KUFUBAA UZEMBE WAKO MWENYEWE TU,SASA WAMEKUSHUSHIA VITU VYA UKWEE KWA AJILI YA KUNG'ARISHA NGOZI YAKO KUANZIA SABUNI,CLEANSER,VIBRATING CLEANSING MACHINE,TONER,CREAM,SUN-BLOCK LOTION ETC. VYOTE HIVI VITAKUACHIA MNG'ARO WA MAANA HUKU NGOZI IKIWEKWA KATIKA HALI YA NZURI NA YA KUVUTIAAA!!
|
WALE WAPENZI WA COCOA BUTTER BLACK & BEATUFUL INAWAHUSU SANA...MAMBO YAKE NADHANI SIITAJI KUONGEA SANA!!! |
|
MAMBO YA MADREPELLA WALE WENZANGU WASIOPENDA KUPAKA VITU USONI HII UNAWEKA DK 30 UNATOA..ITAWAFAA SANA!! |
|
KITU CHA NADINOLA...HIKI HUONDOA MABAKA BAKA YOOTE NA KUIACHIA NGOZI MNG'ARO WA MAANA!! |
|
INAITWA NEUTROGENA VIBRATING POWER CLEANSER HII HUFANYA KAZI MARA 10 ZAIDI YA ILE CLEANSING YA KAWAIDA |
|
JAMANI NGOZI ZA MIILI YETU ILI ZIENDELEE KUNG'AA CHONDE CHONDE MATUMIZI YA SUN-BLOCK LAZIMA |
|
WAKATI NETROGENA NI USO TUU HII INAFANYA CLEANSING KWA MWILI MZIMA USHINDWE WEWE TU!! |
|
HII NI SABUNI YA ULTRA GLOW; HII HUICHIA NGOZI YAKO MNG'AO WA AJABU |
|
KITU ORIGINALL KUTOKA ARGENTINA (LIKAS) SABUNI HII IMESHINDA SUPERBRAND 2005/2006 KWA WENZETU!!USIPIME |