12 January 2013

HII ndo AJALI MBAYA ILIYO TOKEA LEO MAENEO YA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM

 Baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakimshusha mwenzao baada ya kujigonga kwenye mti na kujeruhiwa vibaya na kupasuka sehemu za kichwani wakati akiwa kwenye Lori lenye namba za usajili 5514 JW 07 aina ya IVECO kandokando ya barabara ya Samora jirani na Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam jioni hii.
 Baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka hospitali majeruhi huyo.
 Majeruhi akiingizwa katika Bajaji tayari kwa ajili ya kupelekwa hospitali.
 Lori aina ya IVECO ambalo majeruhi huyo alikuwa amepanda huku likiwa limesheheni mzigo mkubwa.
Majeruhi akipakizwa kwenye bajaj ili kupelekwa hospitalini
 Hii ndio Barabara ya Samora ilipotokea ajali hiyo. 
Hapa ndipo alipojigonga majeruhi na kupasuka sehemu za kichwani.
 
Picha kwa  Hisani yaHabari Mseto Blog

Comments system

Disqus Shortname