HATIMAYE YULE MWANAJESHI ALIYE PIGA PICHA NA LEMA AKAMATWA .ANGALIA PICHA AKIWA NDANI YA GARI LA POLICE
Yule
mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa
mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ
kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na
akaacha ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na
wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.