ALIYEKUWA MCHEZAJI MSHAMBULIAJI WA NEWCASTLE YA UINGEREZA AMESAJILIWA RASMI NA TIMU YA CHELSEA BAADA YA CLUB HIYO KURUHUSIWA NA NEWCASTLE KUFANYA NAYE MAZUNGUMZO NDIPO WALIPOFIKIANA MAKUBALIANO YA UHAMISHO NA MCHEZAJI MWENYEWE KATIKA KIPINDI HIKI CHA DIRISHA DOGO.