MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Juma kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia asubuhi muda wa saa moja kasoro akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akisubiri kusubiri kusafiri kwenda nchni Indi kwa matibabu.
Sajuki alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mgongo na saratani ya ngozi....
Bwana ametoa bwana ametwaha jina la bwana lihimidiwe. Amina