Jeneza
lililobeba Mwili wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwasili
kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa
Mazishi yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.
Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki
wakati wa mazishi ya msanii huyo leo katika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Sadick Juma Kilowoko 'Sajuki' leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa
Mazishi yake yaliyofanyika mchana kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini
Dar es Salaam.