MBWANA SAMMATA ...AWAOMBA RADHI WATANZANIA....MASHABIKI NAO WAMJIA JUU
![](https://fbcdn-profile-a.akamaihd.net/hprofile-ak-ash4/372501_100002381724485_1610541168_q.jpg)
Hakuna
binadamu aliyekamilika kwa moyo mkunjufu nakubali nimetenda makosa na
naomba radhi kwa watz wote ata km sio mpenda michezo na kuhaid hali iyo
aitajitokeza tena tunakaribia mwaka 2013 naitaj radhi zenu hili mwaka
ujao uwe wa mafanikio kwa tz na kwa samatta pia.merry chrismas to oll.