HUYU NDIO MWIZI WA POWER WINDOW ZA MAGARI YA WATU JIJINI DAR.Angalia VIDEO JINSI ALIVYO KAMATWA
Bwana Khasim Ramadhan Juma ambaye ni kiboko kwa uwizi wa vifaa vya
magari ya Watu hapa jijini Dar es Salaam,zikiwemo Side mirror,power
window,taa za magari na vitu vingine kibao.Mtuhumiwa huyu alidakwa hivi
karibuni maeneo ya Mbezi Beach katika hotel ya Farway,baada ya kumuibia
Mdau mmoja wa mkazi wa Dar ambaye aliweza kumkata kwa kutumia mtandano wa
kiteknolojia ya compyuta na kutiwa nguvuni na wanausalama.check video yake
hapo chini