26 December 2012
ANGALIA PICHA jinsi .... DIAMOND PLATNUM VS OMY DIMPOZ WALIVYOPAGAWAISHA USIKU WA XMASS DAR LIVE 25/12/2012
.
Diamond
Watu weweee: Kila mmoja akiwa na shauku ya kumpa mkono Diamond.
...Leka dutigite: Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Diamond wakiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wa Leka dutigite.
Ommy Dimpoz 'on da stage'!
...Dimpooo...zzz: Umati ukipiga yowe wakati Ommy Dimpoz akifanya kufuru stejini.
...Platinumz hewani: Diamond akiwa amebebwa juu na madansa wake.
.
..Nataka kulewa, zikinipanda nimwage radhi.
...Nature ua... Nature ua... Nature ua..: ndivyo Juma Nature alivyokuwa akienda sambamba kwa staili hiyo na mashabiki.
...Wanaume Halisi wakiendeleza libeneke ndani ya Dar Live.
KR Muller akigonga mvinyo ndani ya mask.
...Zitto kazini: Siyo siasa tu, hata mistari mi mkali.
Dimpoz na wasanii wake wakiwasha moto kuwakumbuka wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki.
Newer Post
Older Post
Home
Comments system
Disqus Shortname