Waziri mkuu mstaafu Mh Fredrick Sumaye ameeleza kusikitishwa na kutoa tahadhari juu ya kukithiri kwa rushwa ya mtandao ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali yenye chaguzi ambapo mtu hutoa fedha ili watakaochaguliwa wawe wafuasi wake mbele ya safari