KAMATI ya UCHUNGUZI wa KIFO CHA MWANDOSI waibiwa vifaa vya kutendea kazi IRINGA.
Tukio hilo limetokea katika hoteli ya RUAHA wakati wanakamati hao walipokwenda kula chakula ndipo mtu asiye julikana aliingia chumbani mwao kwa kutumia master key na kuweza kuondoka na I-PAD pamoja na fedha kiasi cha tsh.laki 7.
No comments:
Post a Comment