Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani
Askari
anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya
wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa
mashitakata yake. Huku akiwa
chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani
kujitahid kupata picha kwa ugumu.
Akisoma
mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines
lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus
Cleophase Simon (23)
Kutoka Francisgodwinblog
|
No comments:
Post a Comment