07 April 2012

SINTA AELEZA CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA


HII NDO KAULI YA SINTA

Dear Wadauzz

nasikitika kutangaza kifo cha Steven kanumba ambaye amefariki leo saa saba ya usiku,maiti ipo Muhimbili hospital.

chanzo cha kifo,inasemekana Lulu na Kanumba were dating secretly,na walikuwa pamoja wakati wa kifo chake,Lulu alimsukuma Kanumba wakiwa katika ugomvi na kanumba akadondoka na kutoa damu na ndipo mauti ilimshika
kwa sasa Lulu yupo Osterbay police.

chanzo  sinta blog

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname