07 April 2012

PICHA ZA MPAMBANO WA SIMBA NA SETIF NCHINI ALGERIA, AMBAPO SIMBA IMESONGA MBELE KATIKA MICHUANO HIYO

Mashabiki wa timu ya Es Setif wakiwa wamejaa uwanjani kabla ya kuanza kwa mpambano huo jijini Setif Algeri.

 Wachezaji wa Simba wakipeana mawaidha kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao katika dakika ya 12 tu ya mchezo beki mahiri wa Simba Juma Nyoso alipewa kadi nyekundu na kutolewa nje ya uwanja.

Wachezaji wa Simba wakipata chakula cha usiku mara baada ya kuwaondosha waarabu hao huko Setif na kutinga hatua ya makundi.
Picha zote kwa Hisani ya Blog ya Full Shangwe

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname