Jackline Patrick Cliff ni video queen wa Tanzania ambaye amefungwa gerezani hukoMacao China kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya, bestfriend wake Martin Kadinda kaongelea jitihada zake kwenda kumuona gerezani, hapa kwenye hii video hapa chini Martin anaelezea alivyokwenda China kumsalimia.
BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO
BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO
No comments:
Post a Comment