Ni asubuhi tulivu kabisa ya Jumatatu tarehe 10/8/2015.Ni siku ya
kihistoria katika Taifa letu.Hii ni kwa sababu Kamanda mpambanaji na
asiyechoka mzee wa Maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa akiwa na mgombea
mwenza Juma Duni Haji watachukua rasmi fomu za kugombea Urais kupitia
UKAWA katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
No comments:
Post a Comment