Mbowe akiongea na Waandishi wa habari leo
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti mwenza wa
UKAWA Freeman Mbowe, ameongea na vyombo vya habari na Kuelezea maendeleo
yake kiafya baada ya jana kuugua gafla na kukimbizwa Hospitali.
No comments:
Post a Comment