21 August 2015

BAADA YA DIAMOND NA WEMA KUMSAPOTI MAGUFULI, RAY AWAPONDA, AFUNGUKA MAZITO

Baada ya baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie kuonesha msimamo wao katika kuwaunga mkono wagombea flani wa Urais. Msanii mwenzao Ray Kigosi ameonesha msimamo wake na kwa maneno haya.
"Usiku wa jana nimetafakari vi2 vingi sana kuhusu Nchi yangu iliyobarikiwa kila aina ya utajiri wa madini mbuga za wanyama wakiwemo aina mbalimbali za wanyama wa kuvutia na hekta kubwa za misitu Ila ninaona vipofu wengi sana wasiolewa nini 2lichobarikiwa ndani ya Tanzania ye2.  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname