11 August 2015

Alichokiandika Ridhiwan Kikwete kuhusu Afya ya Mbowe kiko hapa

Siku ya jana Mbowe alianguka ghafla katika maandamano ya UKAWA kumsindikiza Lowassa kuchukua fomu ya Urais katika Ofisi za NEC, Mbowe alifikishwa haraka Muhimbili na Sasa anaendelea vizuri.
52
Leo katika Mtanda wa Twitter Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametoa Pole kwa Muheshimiwa Mbowe na kuandika haya “Afya ni Muhimu kuliko jengine lolote. Pole sana Mwenyekiti kwa kuumwa ghafla. Wagombea na wapiga debe tupime afya.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname