05 July 2015

DIAMOND PLATINUMS AFICHUA SIRI KUHUSU AY

Msanii supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa bongofleva ‘long time’ AY. 
Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook amebainishakuwa AY ndiye aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa.  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname