25 July 2015

Baada ya kumuomba raisi Obama amsaidie hatimaye Chris brown aruhusiwa kuondoka ufilipino

Chris brown hatimaye ameachiwa kuondoka nchini ufilipino baada kuzuiwa na uhamiaji wa nchini humo kwa madai  ya kutotokea kwenye show ya usiku wa mwaka mpya ambayo alikua amelipwa tayari, waandaji wa show hiyo walimshitaki Chris brown na kuomba serikali isimruhusu kuondoka hadi atakapo lipa pesa yao.
Chris brown ameweka video kwenye mtandao wa Instagram akiondoka Nchi humo,

cb-manilaMapema leo Chri brown alipost hii picha akiomba aruhusiwe kuondoka, alimwomba raisi Obama amsaidie pia.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname