Staa mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo kitandani.
Ubuyu! Staa wa Bongo Fleva almaarufu
Ndege Mnana, Esterlina Sanga ‘Linah’, amedai kunasa ‘live’ tukio la
mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac
Sepetu akiwa kitandani na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo ambaye alipata umaarufu mwaka 2010 alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar na kumkumbatia Mchezaji wa Brazil, Ricardo Kaka kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Taifa Stars.
SOMA ZAIDI ===>

No comments:
Post a Comment