The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akiwa na Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Manana. The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akionesha mahaba niue kwa ‘kujibebisha’ kwa Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Manana huku akimmwagia sifa nyingi na kudai ndiye laazizi wa moyo wake kwa sasa baada ya kuachana na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri ndani ya Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita kwenye Shoo ya Instagram Party ambapo Wema alikuwa mmoja wa washiriki wa tamasha hilo lililohudhuriwa na mamia ya mashabiki hivyo walipata mshtuko waliposikia habari hizo njema kutoka kwa Madam.
Akiwa kwenye pati hiyo, Wema alipanda stejini kwa ajili ya kuongea na mashabiki wake na baadaye alipanda Luis ndipo Madam akaanza kummwagia sifa kedekede na kabla ya kumtambulisha rasmi kuwa ndiye ubavu wake.
Wrist watches are usually categorized because possibly omega replica sale wrist watches or even mechanised wrist watches. Mechanised wrist watches tend to be additional divided in order to automated wrist watches (automated rotating) as well as guide blowing wind wrist watches. cartier replica wrist watches contain just about all mechanised elements and as such the actual title mechanised wrist watches. tag heuer replica uk wrist watches are through using electric battery. Qreplica wathces uk wrist watches perform require electric battery. Quartz wrist watches will get their own title in the quartz gem that's used within the motion. You will find natural pluses and minuses along with each quartz as well as replica watches wrist watches. Quartz wrist watches tend to be more precise as well as more affordable compared to comparable mechanised wrist watches.
ReplyDelete