Wema na mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha
itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni
mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa
mwanamuziki linah sana. Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana
ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa
mpya mtaani na wala haituhusu, Ila tumeona si vyema tusipowaletea
kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.
Sisi yetu macho.
No comments:
Post a Comment