Baada ya kuhusishwa kwa muda mrefu na fununu za kutembea na
wanaume kadhaa tangu kufariki kwa aliyekuwa mumewe, Juma Kilowoko
‘Sajuki’, msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma hatimaye amefunguka na
kujiapiza kwa kulamba kidole,
kuchovya mchanga na kukipitisha shingoni akidai tangu kuondoka kwa Sajuki hajawahi ‘kuchangia shuka’ na mwanaume yeyote na kama yupo, ajitokeze hadharani!
kuchovya mchanga na kukipitisha shingoni akidai tangu kuondoka kwa Sajuki hajawahi ‘kuchangia shuka’ na mwanaume yeyote na kama yupo, ajitokeze hadharani!
Msanii
wa filamu Bongo, Wastara Juma. ‘Akibadilishana sentensi’ na ‘kiruka’
njia wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Wastara ambaye bado anafanya

No comments:
Post a Comment