WANAFUNZI WA CHUO KIKUU WAMEKUTWA WAMEKUFA BAADA YA KUTUMIA DAWA ZAKUONGEZA NGUVU KUFANYA NGONO.
Wanachuo wa chuo Anambra
State wamekutwa wamekufa baada ya kunywa dawa za kuongeza nguvu za
kiume.Majirani wahakufahamu mbaka miili yao ilipoanza kuharibika
kupelekea kuvunja mlango.Binti aliaga kwa wanafunzi wenzake anakwenda
kwa mpenzi wake.
No comments:
Post a Comment