14 June 2015

UNYAMA WA KUTISHA MTOTO ACHINJWA NA BABA YAKE HUKO KISA NI....

 
Tukio hili la kusikitisha, limetokea Mabibo-Loyola, jijini hapa Dar es Salaam, baada ya baba wa mtoto huyu, kumfumania mkewe na mwanaume mwingine…Baada ya fumanizi, mke akamtamkia mumewe kuwa huyu mtoto siyo wake,
kwa hiyo hana sababu yoyote ya kuanzisha ugomvi…
Baada ya baba kusikia ya kwamba kiumbe huyu si mtoto wake, basi akaamua kumchinja ili wote wamkose… Inasikitisha sana!.. 

BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI TUKIO HILI LA KUTISHA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname