Santos imetwaa uchampioni wa ligi ya Mexico maarufu kama Clausura pamoja na kupoteza mchezo wao dhidi Queretaro kwa mabao 3-0.
Santos walitawazwa mabingwa baada ya kushinda jumla ya mabao 5-3 kwenye fainali iliyochezwa kwa michezo miwili.
Ronaldinho alifunga moja lililokataliwa na mwamuzi baada ya kumpokonya golikipa mpira wakati akijiandaa kuupiga.
Liangalie bao hilo hapa chini.
No comments:
Post a Comment