14 June 2015

Picha,Tyga afumaniwa akinunua Bugatti na mwanamke mwingine,sio Kylie Jenner.

Rapa Tyga amefumaniwa akijaribisha gari la Kifahari aina ya Bugatti kabla hajalinunua akiwa na mwanamke mwingine kwenye gari hio na sio mpenzi wake ambaye ni Kylie Jenner.
Tyga alikuwa na mpango wa kununua gari hilo lenye thamani ya dola milioni  $1.5 ila baada ya kulijaribisha alirudi kwenye Range Rover yake na kuondoka.
t1 t2 t3 t4 t5 t6

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname