Mwigulu Nchemba akitangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM jioni hii mkoani Dodoma.
NAIBU Waziri wa Fedha,
Mwigulu Nchemba, ametangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais
jioni hii kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Mwl.
Nyerere uliopo kwenye Chuo cha Mipango mkoani Dodoma.
Kauli mbiu ya Mwigulu ni ‘Mabadiliko ni Vitendo Wakati ni Sasa.’
Katika hotuba yake
Mwigulu ameanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, wazee, ndugu zake,
wananchi wake wa Iramba na wananchi wote waliohudhuria hafla hiyo ya
kutangaza nia.
Mwigulu pia amempongeza Rais Kikwete kwa kumuamini na kumteua katika nyadhifa mbalimbali.
Amesema ameamua
kutangaza nia akiwa mkoani Dodoma ili kuondoa dhana ya ‘ukwetukwetu’
iliyozoeleka miongoni kwa viongozi. Aongeza kuwa Dodoma ni makao makuu
ya taifa na chama chake ndiyo maana amefanya hivyo.
Aidha Mwigulu ameeleza mambo matatu yaliyomsukuma kutangaza nia kuwa ni pamoja na:
-Kutaka Mabadiliko
-Kujua mbinu za mabadiliko
-Utayari wa kufanya mabadiliko.
Pia kiongozi huyo
amekemea viongozi wanaochaguliwa kwa mazoea wakisingizia uzoefu kwa
kueleza kuwa kiongozi anayechaguliwa kwa mazoea ataongoza kwa mazoea na
atafanya kazi kwa mazoea maana uzoefu ni mazoea.
Kiongozi huyo ameeleza
jinsi anavyozijua fika shida za Watanzania na umasikini walionao
hajausoma kwenye vitabu bali ameishi maisha ya umasikini.
Mwigulu ameeleza pia
alivyobeba zege baada ya kumaliza chuo kikuu na mke wake akiwa mama
ntilie akiwapikia yeye na vibarua wengine wa ujenzi.
Sorts of extra enjoy Generally, a luxurious breitling replica sale enjoy can be labeled by simply their company. Cartier is just about the quite most popular label of high-class company. Distinct wellknown treat enjoy companies are generally: rolex replica uk Types of distinct companies which have been widespread to create highquality impressive designer watches. High-class replica wathces uk enjoy themselves involves a substantial amount types omega replica, including pursuits enjoy, costume enjoy, diver’s enjoy, and many others. A variety of Deluxe enjoy are generally constructed of exclusive solutions. Similar to, a new dress-up costume enjoy is often made rolex replica sale via gold and silver even though pursuits designer watches are made from incredibly resistant resources A number of on-line companies found a number of discounted throughout high-class designer watches, so that it is cheaper to a lot men and women.
ReplyDelete