06 June 2015

MWANASHERIA WA KENYA ALIYETANGAZA NIA KUMUOA MTOTO WA OBAMA AJIPATIA MCHUMBA WA BUREE ALIYEOMBA KUOLEWA NAYE!!

Baada yakuandaa mahali na kumsubiri mtoto wa Obama nchini kwenye mwezi huu wa sita,Binti wakikenya kushoto ajitokeza nakuomba aolewe yeye wajenge ikulu yao. Binti huyo ameandika barua kwa mwanasheria huyo akionesha mapenzi ya dhati amekua akimfatilia muda mrefu mwanaume huyo kwenye mitandao ya kijamii wala asijipe tabu kwa mtoto wa Obama yeye yupo tayari kuolewa naye

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname