Mwanamke anae daiwa kuzaa na Davido,amganda kwa ku-post picha instagram
Ni wiki sasa imepita tangu mwana mama huyu mwenye mtoto
mmoja aane dai amezaa na mwana muziki Davido,amekuwa aki-post picha ya
mtoto katika page yake na kudai ni mtoto wa Davido. Amekua
akidai kwamba yeye ndio mpenzi wa Davido na amezaa nae mtoto
mmoja,lakini mwanamke huyo kwatika taarifa hizo hajawahi ku-post picha
yoyote ikimuonyesha yupo na Davido na mpaka sasa Davido haja jibu
chochote kuhusu picha hiyo.
No comments:
Post a Comment