01 June 2015

MUANDAAJI WA INSTAGRAM PARTY NA BIKIRA WA KISUKUMA WAINGIA KWENYE BIFU ZITO

Hawa ni marafiki wawili waliowahi kufanya kazi pamoja lkn kwasababu ya kutoelewana kibiashara wakatengana kila mmoja akaenda njia yake. Seth yeye now yuko EFM radio na Fred yuko na Freeconic Ideas kampuni yake.
Jana radio ya EFM waliandaa event ya miaka 16 ya msanii Juma Nature ambapo Bikira wa Kisukumaakaipigia kampeni kwa maneno hayo juu kuhusu kuwepo  kwa msanii Shetta ukumbi Dar Live....ilionekana ni maneno ya kuudhi kwa mwenzake ambaye pia alikuwa na event ya Instagram Party na Shetta naye alikuwepo sehemu hiyo pia. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname