Mtangazaji
wa Maimartha Jesse amempongeza madam Wema Sepetu kwa kupata mpenzi
mpya.Amemwita mdogo wake mzuri mzuri akiwa nikiashirio cha kubariki
ukwapuaji wa mpenzi wa zamani wa Linah Sanga.Pia amempongeza Aunt
Ezekiel kwa kupata mtoto na kuahidi kumtembele mtoto huyo Cookie.Huku
akipiga biti kwa atakaye mtukana kwa kutoa hongera atamfanya kitu mbaya.

No comments:
Post a Comment