Pozi hili limuendee soudbrown popote alipo pale unaposikiliza udaku wake
alafu peke yako naunatafakari kwanini kafanya mambo meusi kama haya
haha Soud acha mambo meusi uwaga unatupa mtihani tukichepuka kidogo tu
habari radion natalaka za week zinatuhusu no busu na call no matumizi
sasa bora vyote vifanyike ila swala lamatumizi liwepo lakini vyote
vinapotea kwa udaku wako usio nausibitisho soud acha mambo meusi ..maana
ukinipgia cm sku hzii na hvi namba zako zote nimezisave ata kma una
deal yako unataka msaada wangu sitowaza hvyo nitawaza tuu mambo yako
meusi jirekebishe kidogo kua nasubra Soud unatuponza Mimi ajanifanya ktu
lkn nameambia tuu mapozi tunayokaaga tena mimi ananistrigi kweli kweli
ndo nachompendea
No comments:
Post a Comment