Baada yakuandaa mahali na kumsubiri mtoto wa Obama nchini kwenye mwezi
huu wa sita,Binti wakikenya kushoto ajitokeza nakuomba aolewe yeye
wajenge ikulu yao.Binti huyo ameandika barua kwa mwanasheria huyo
akionesha mapenzi ya dhati amekua akimfatilia muda mrefu mwanaume huyo
kwenye mitandao ya kijamii wala asijipe tabu kwa mtoto wa Obama yeye
yupo tayari kuolewa nae
No comments:
Post a Comment