Mzaliwa wa Tanzania Colonel Mustafa ni msanii wa siku nyingi kwenye muziki Kenya alikokulia na kutengeneza nyimbo nyingi zikiwemo ‘hey baby’ ft. Marya na Mtaani.com ft. Avril ambapo this time yuko kwenye headlines na hii video yake mpya ya Dodoma Singida.Kwenye Interview na millardayo.com
Mustafa amethibitisha kwamba video yake mpya imefungiwa kuonyeshwa
kwenye vituo vya TV kutokana na warembo walioonekana ndani yake, yani
kutokana na mavazi waliyovaa na kujiachia.
Mustafa amesema
hajajutia uamuzi wa kuifanya hiyo video na sio kitu kibaya kwake, mbona
za kina Nicki Minaj zilizowazi kuliko hizi zinapigwa na vituo hivyohivyo
vya TV Kenya? hii inakuwa sio video ya kwanza kutangazwa kutoonyeshwa
kwenye TV, zilizotangulia ni ‘nishike’ ya Sauti Sol na You guy ya ‘P unit’
No comments:
Post a Comment