07 June 2015

DIAMOND AFANYIWA MAKUBWA CHUO KIKUU CHA UDSM!!,SHUHUDIA HAPA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki Diamond Platinumz Tuzo ya the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo ilipokelewa
na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye alishindwa kufika katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba zake kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu......  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname