05 June 2015

DIAMOND ABANWA KUMSALITI MH.MEMBE!!


Musa mateja
Nimwendo wa kutangaza nia kwa baadhi ya wanasiasa ambao wanaomba ridhaa ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambapo upepo huo umemgusa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kwenda kufanya shoo wakati Waziri Mkuu Mjiuzulu, Edward Lowassa akitangaza nia mwishoni mwa wiki iliyopita.


Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Benardi Memba akiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. 


BONYEZA HAPA KUISOMA YOTE

1 comment:

  1. Acheni Uk*ma nyie kama mnaandika habari nzima muandike nzima, sio soma zaidi alafu inanipeleka kwenye blog za Ki*seng* nakwambia kama amuwezi kuandika habai nzima si muache tujue tutembelee ipi ili tusome habari zote

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname