Staa wa Nigeria Davido anatafutwa na [Askari wa kitengo cha kuzuia
Dawa za kulevya Nigeria ] National Drug Law Enforcement Agency (NDLEA).
Chanzo cha habari kimesema video yake ya ‘Fans Mi’ aliyofanya na Meek
Mil iliyotazamwa na watu zaidai ya milioni moja kwa sasa Youtube
imeonyesha matendo ya ununuaji wa dawa za kulevya yasiyotakiwa kuonekana
kwenye tv.
Ofisa wa NDLEA, Mitchell Ofoyeju amesema “The agency considers the
musical video, ‘Fans Mi’ inappropriate and indecent. It has the tendency
to negatively influence and induce drug use and trafficking. Besides,
it is counter-productive on the campaign against drug production,
trafficking and abuse. The agency is also investigating the matter and
will take necessary action,” .
No comments:
Post a Comment