Davido
kutoka nchini Naigeria amekana mimba ya mdada Queenlonyea nakudai kuto
husika naye kimapenzi.Mwanadada huyo amepost picha mbalimbali
akithibitisha ukaribu wao hapo awali.Wasanii wakubwa wamekua wakikataa
mimba bila kufahamika ukweli ni upo P squre nao wameshatajwa mara zaidi
ya moja kuzikana mimba za wapenzi wao wazamani.
No comments:
Post a Comment