Mkali
wa sinema za Kibongo Aunt Ezekiel akiwa na wafanyakazi wa
Globalpublishers walipomtembelea kumuona mtoto wake. Makubwa! Aunt
Ezekiel ameweka wazi kinachotafsirika kuwa ni kuzaa nje ya ndoa huku
akishikilia alichokiita ‘hayo ni mambo yake binafsi’, Ijumaa Wikienda
liligaragazana naye kwa maswali.
Akizungumza kwa njia ya simu na ‘kijumbe’ wetu wikiendi iliyopita,
mkali huyo wa sinema za Kibongo, alisema kamwe hapendi kuulizwa masuala
ya ndoa yake.
Aunt Ezekiel na mume wake Moses Iyobo wakifurahia na mtoto wao. Aunt alisema suala hilo ni la kifamilia na kwamba yeye ndiye mwenye siri ya nani baba wa mtoto huku akishindwa kukubali kama ni Sunday Demonte ambaye ni mumewe wa ndoa, ndiye baba wa mwanaye Cookie.
BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:
Post a Comment