30 May 2015

WEMA SEPETU, IDRIS NUSU WAZICHAPE! WIVU WATAJWA..


MALKIA anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014/15, Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni, nusu wazichape kavukavu baada ya kupishana kauli huku wivu wa kimapenzi ukitajwa.

Malkia anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu. Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nje ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro iliyopo Posta jijini Dar ambapo kwa pamoja walikuwa wamehudhuria sherehe ya utoaji Tuzo za Watu.  


BONYEZA HAPA INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname