Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko (katikati ) akiwa Azam tv Pamoja na Watangazaji wa Kipindi cha alasiri ndugu Andrian (kushoto) pamoja na wasiwasi Mwabulambo kwenye ziara kubwa ya Meneja kwenye Vyombo Mbalimbali vya Habari Kutoa Elimu kwa Jamii juu ya Mambo mbalimali ya Kiuchumi ikiwemo Tatizo la Ajira ,Namna ya Kujiajiri na Nidhamu utawala wa Rasilimali fedha.
Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko akiwa ndani ya studio za Clouds katika muendelezo wa Ziara yake hapa akiea na Mtangazaji Perfect Crispin.
Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko akiwa studio za Magic FM
Meneja Masoko wa AccessBank Ndugu Muganyizi Jonas Bisheko Akiwa ndani ya Studio za Mlimani tv Akielezea namna ambavyo AccessBank inatumia techinolojia kusogeza karibu huduma zake kwa wateja.Hivi karibuni AccessBank ilizindua huduma yake ijulikanayo kama RAHISII Inayowezeshwa na AccessMobile,Huduna inayowezesha Wateja kupata Huduma za Kibenki bure bila Kikomo Kupitia Simu zao za Kiganjani.Kama vile kupata Akaunt bure bila Makato.Kuweka Fedha na Kutoa Bure Katika tawi la AccessBank.Kuhamisha Fedha bure Kwenye Akaunti.M-Pesa,Tigo Pesa,Airtel Money.Kulipia bili Burekwenda Luku,Dstv Dawasco,na Nyinginezo.Kununua Muda wa Maongezi Bure Kutoka Vodacom,Tigo ,Airtel na Zantel
No comments:
Post a Comment