mmoja alipokuwa akitoka Club, Kajala kwa Hasira aligeuka na Kumrushia kibao huyo kaka , kaka wa watu nae alikuwa ameshika chupa ya bia kwa hasira nae akampiga nayo usoni....Kama ni kweli basi haya meneno mengine yanayozushwa mtaaani kwamba ni Team Naniliu ndio wamefanya hivyo sio ya Kweli ..bali ni Ugomvi tu wa Kawaida ulitokea na kuamsha hasira za hao wawili .....

No comments:
Post a Comment